23 Wewe umemtukana nani?Umemkashifu nani?Umethubutu kumbeza nani kwa majivuno?Ni mimi Mungu, Mtakatifu wa Israeli!
Kusoma sura kamili Isaya 37
Mtazamo Isaya 37:23 katika mazingira