Isaya 37:31 BHN

31 Wale watakaobaki katika ukoo wa Yuda wataongezeka na kuwa wengi kama vile mti unavyotoa mizizi yake udongoni na kuzaa matunda juu.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:31 katika mazingira