Isaya 37:32 BHN

32 Maana kutakuwa na watu watakaosalia huko Yerusalemu; naam, huko mlimani Siyoni kutakuwako watu wachache watakaosalimika.” Mwenyezi-Mungu wa majeshi amedhamiria kukamilisha hayo.

Kusoma sura kamili Isaya 37

Mtazamo Isaya 37:32 katika mazingira