33 Mwenyezi-Mungu asema hivi juu ya mfalme wa Ashuru: “Hataingia katika mji huu, wala kuupiga mshale wala kuingia kwa ngao wala kuuzingira.
Kusoma sura kamili Isaya 37
Mtazamo Isaya 37:33 katika mazingira