14 “Ninalia kama mbayuwayu,nasononeka kama njiwa.Macho yangu yamefifia kwa kuangalia juu.Ee Bwana, nateseka;uwe wewe usalama wangu!
Kusoma sura kamili Isaya 38
Mtazamo Isaya 38:14 katika mazingira