Isaya 4:1 BHN

1 Wakati huo wanawake saba watamvamia mwanamume mmoja na kumwambia, “Chakula na mavazi tutajitafutia wenyewe, lakini wewe utuondolee aibu yetu, uturuhusu tuitwe kwa jina lako.”

Kusoma sura kamili Isaya 4

Mtazamo Isaya 4:1 katika mazingira