Isaya 4:2 BHN

2 Siku ile, tawi atakalochipusha Mwenyezi-Mungu litakuwa zuri na tukufu, nayo matunda ya nchi yatakuwa ya fahari na utukufu kwa wale Waisraeli watakaosalia. Waisraeli watakaobaki watayaonea fahari na kujivunia mazao ya nchi yao.

Kusoma sura kamili Isaya 4

Mtazamo Isaya 4:2 katika mazingira