Isaya 4:6 BHN

6 Utukufu wake utakuwa kwao kivuli kuwakinga na joto la mchana; na kimbilio na kinga yao wakati wa dhoruba na mvua.

Kusoma sura kamili Isaya 4

Mtazamo Isaya 4:6 katika mazingira