Isaya 4:5 BHN

5 hapo atafanya kila mahali juu ya mlima Siyoni na juu ya mikutano ya watu kuwe na wingu wakati wa mchana, na moshi na moto uwakao vizuri wakati wa usiku. Zaidi ya hayo utukufu wa Mungu utaufunika na kuulinda mji wote.

Kusoma sura kamili Isaya 4

Mtazamo Isaya 4:5 katika mazingira