Isaya 4:4 BHN

4 Kwa roho yake, Bwana atawaweka sawa na kuwatakasa. Na atakapokwisha kuwatakasa wanawake wa Siyoni uchafu wao na kufuta madoa ya damu yaliyomo humo Yerusalemu,

Kusoma sura kamili Isaya 4

Mtazamo Isaya 4:4 katika mazingira