Isaya 40:11 BHN

11 Atalilisha kundi lake kama mchungaji,atawakusanya wanakondoo mikononi mwake,atawabeba kifuani pake,na kondoo wanyonyeshao atawaongoza polepole.

Kusoma sura kamili Isaya 40

Mtazamo Isaya 40:11 katika mazingira