19 Nitapanda miti huko nyikani:Mierezi, mikakaya, mijohoro, na mizeituni;nitaweka huko jangwani:Miberoshi, mivinje na misonobari.
Kusoma sura kamili Isaya 41
Mtazamo Isaya 41:19 katika mazingira