Isaya 43:23 BHN

23 Hamjaniletea kondoo wenu wa sadaka za kuteketezwa,wala kuniheshimu kwa tambiko zenu.Nami sikuwalemeza kwa kutaka sadaka,wala sikuwachosha kwa kuwadai ubani.

Kusoma sura kamili Isaya 43

Mtazamo Isaya 43:23 katika mazingira