24 Hamkuninunulia manukato kwa faida yenu,wala kuniridhisha kwa nyama nono za tambiko.Badala yake dhambi zenu zimekuwa mzigo kwangu,mmenichosha kabisa kwa makosa yenu.
Kusoma sura kamili Isaya 43
Mtazamo Isaya 43:24 katika mazingira