Isaya 44:21 BHN

21 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Ewe taifa la Yakobo kumbuka;naam, kumbuka ewe Israeli:Wewe ni mtumishi wangu.Nilikuumba ili uwe mtumishi wangu,nami kamwe sitakusahau.

Kusoma sura kamili Isaya 44

Mtazamo Isaya 44:21 katika mazingira