22 Nimeyafagilia mbali makosa yako kama wingu,nimezifanya dhambi zako zitoweke kama ukungu.Rudi kwangu maana mimi nimekukomboa.”
Kusoma sura kamili Isaya 44
Mtazamo Isaya 44:22 katika mazingira