Isaya 45:3 BHN

3 Nitakupa hazina zilizofichwa gizani,na mali iliyo mahali pa siri,upate kutambua kwamba mimi ndimi Mwenyezi-Mungu,Mungu wa Israeli, ninayekuita kwa jina lako.

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:3 katika mazingira