Isaya 45:4 BHN

4 Kwa ajili ya mtumishi wangu Yakobo,naam, kwa ajili ya mteule wangu Israeli,nimekuita kwa jina lako;nimekupa jina la heshima ingawa wewe hunijui.

Kusoma sura kamili Isaya 45

Mtazamo Isaya 45:4 katika mazingira