Isaya 46:6 BHN

6 Watu humimina dhahabu kutoka mifuko yao,hupima fedha kwenye mizani zao,wakamwajiri mfua dhahabu atengeneze sanamukisha huisujudu na kuiabudu!

Kusoma sura kamili Isaya 46

Mtazamo Isaya 46:6 katika mazingira