Isaya 47:5 BHN

5 Mwenyezi-Mungu asema:“Ewe taifa la Wakaldayolililo kama binti mzuri,keti kimya na kutokomea gizani.Maana umepoteza hadhi yakoya kuwa bimkubwa wa falme.

Kusoma sura kamili Isaya 47

Mtazamo Isaya 47:5 katika mazingira