Isaya 49:10 BHN

10 Hawataona tena njaa wala kuwa na kiu.Upepo wa hari wala jua havitawachoma,mimi niliyewahurumia nitawaongozana kuwapeleka kwenye chemchemi za maji.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:10 katika mazingira