Isaya 49:9 BHN

9 kuwaambia wafungwa, ‘Tokeni humo gerezani’,na wale walio gizani, ‘Njoni nje mwangani!’Kila mahali watakapokwenda watapata chakulahata kwenye vilima vitupu watapata malisho.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:9 katika mazingira