Isaya 49:20 BHN

20 Wanao waliozaliwa uhamishoni,watakulalamikia wakisema:‘Nchi hii ni ndogo mno;tupatie nafasi zaidi ya kuishi.’

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:20 katika mazingira