Isaya 49:19 BHN

19 “Kweli umekumbana na uharibifu,makao yako yamekuwa matupu,na nchi yako imeteketezwa.Lakini sasa itakuwa ndogo mno kwa wakazi wake;na wale waliokumaliza watakuwa mbali.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:19 katika mazingira