Isaya 49:22 BHN

22 Bwana Mungu asema hivi:“Nitayapungia mkono mataifa;naam, nitayapa ishara,nayo yatawabeba watoto wenu wa kiume,kadhalika na watoto wenu wa kikena kuwarudisha kwako.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:22 katika mazingira