Isaya 49:23 BHN

23 Wafalme watakushughulikia,na malkia watakutengenezea chakula.Watakusujudia na kukupa heshima,na kuramba vumbi iliyo miguuni pako.Hapo utatambua kuwa mimi ni Mwenyezi-Mungu;wote wanaonitegemea hawataaibika.”

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:23 katika mazingira