Isaya 49:4 BHN

4 Lakini mimi nikafikiri,“Nimeshughulika bure,nimetumia nguvu zangu bure kabisa.”Hata hivyo, Mwenyezi-Mungu atanipa haki yangu;tuzo la kazi yangu liko kwa Mungu.

Kusoma sura kamili Isaya 49

Mtazamo Isaya 49:4 katika mazingira