28 Mishale yao ni mikali sana,pinde zao zimevutwa tayari.Kwato za farasi wao ni ngumu kama mawe;mwendo wa magurudumu ya magari ni kimbunga.
Kusoma sura kamili Isaya 5
Mtazamo Isaya 5:28 katika mazingira