Isaya 5:29 BHN

29 Askari wao wananguruma kama simba;wananguruma kama wanasimbaambao wamekamata mawindo yaona kuwapeleka mahali mbaliambapo hakuna awezaye kuwanyanganya.

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:29 katika mazingira