6 Nitaliacha liharibiwe kabisa,mizabibu yake haitapogolewa wala kupaliliwa.Litaota mbigili na miiba.Tena nitayaamuru mawinguyasinyeshe mvua juu yake.”
Kusoma sura kamili Isaya 5
Mtazamo Isaya 5:6 katika mazingira