Isaya 5:7 BHN

7 Naam! Shamba la mizabibu la Mwenyezi-Mungu wa majeshini jumuiya ya Waisraeli,na mizabibu mizuri aliyoipanda ni watu wa Yuda.Yeye alitazamia watende haki,badala yake wakafanya mauaji;alitazamia uadilifu,badala yake wakasababisha kilio!

Kusoma sura kamili Isaya 5

Mtazamo Isaya 5:7 katika mazingira