Isaya 50:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Kama nimempa talaka mama yako Yerusalemu,hati ya talaka iko wapi?Au kama niliwauza utumwani,yuko wapi basi, huyo niliyemwuzia?Kumbukeni mliuzwa utumwani kwa maovu yenu,mama yenu alifukuzwa kwa makosa yenu.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:1 katika mazingira