Isaya 50:6 BHN

6 Mgongo wangu niliwaachia walionipiga,mashavu yangu waliozingoa ndevu zangu;walioniaibisha na kunitemea mate,sikujificha mbali nao.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:6 katika mazingira