Isaya 50:7 BHN

7 Bwana Mungu hunisaidia,kwa hiyo siwezi kufadhaika.Uso wangu nimeukaza kama jiwe;najua kwamba sitaaibishwa.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:7 katika mazingira