Isaya 50:9 BHN

9 Tazama Bwana Mungu hunisaidia.Ni nani awezaye kusema nina hatia?Maadui zangu wote watachakaa kama vazi,nondo watawatafuna.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:9 katika mazingira