Isaya 50:10 BHN

10 Nani kati yenu amchaye Mwenyezi-Mungu?Nani anayetii maneno ya mtumishi wake?Kama yupo atembeaye gizani bila taa,amtumainie Mwenyezi-Mungu,na kumtegemea Mungu wake.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:10 katika mazingira