Isaya 50:11 BHN

11 Lakini nyinyi mnaowasha moto,na kujifanyia silaha za mienge,tembeeni kwa mwanga wa moto huo,miali ya moto mliowasha nyinyi wenyewe.Mtakachopata kutoka kwa Mwenyezi-Mungu ni hiki:Nyinyi mtalala chini na mateso makali.

Kusoma sura kamili Isaya 50

Mtazamo Isaya 50:11 katika mazingira