Isaya 51:1 BHN

1 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Nisikilizeni enyi mnaotaka kukombolewa,nyinyi mnaonitafuta mimi Mwenyezi-Mungu.Utazameni mwamba mlimochongwa,chimbo la mawe mlimochimbuliwa.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:1 katika mazingira