Isaya 51:2 BHN

2 Mkumbukeni Abrahamu babu yenu,na Sara aliyewazaa nyinyi.Abrahamu alikuwa hana mtoto wakati nilipomwita,lakini nilimbariki na kumfanya kuwa na wengi.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:2 katika mazingira