Isaya 51:13 BHN

13 Wewe umenisahau mimi Mwenyezi-Mungu Muumba wako,niliyezitandaza mbingu,na kuiweka misingi ya dunia!Wewe waendelea kuogopa siku zote,kwa sababu ya ghadhabu ya mdhalimu wako,kwamba yuko tayari kukuangamiza!Lakini hasira yake itafika wapi?

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:13 katika mazingira