Isaya 51:12 BHN

12 Mwenyezi-Mungu asema hivi:“Mimi, naam mimi, ndimi ninayekufariji.Kwa nini wewe unamwogopa mtu ambaye hufa,binadamu ambaye hutoweka kama nyasi?

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:12 katika mazingira