Isaya 51:11 BHN

11 Watu wako uliowakomboa, ee Mwenyezi-Mungu, watarudi,watakuja Siyoni wakiimba;watajaa furaha ya milele,watapata furaha na shangwe.Huzuni na maombolezo vitatoweka kabisa.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:11 katika mazingira