Isaya 51:10 BHN

10 Wewe ndiwe uliyeikausha bahari,ndiwe uliyevikausha vilindi vya maji,ukafanya njia katika vilindi vya bahari,ili wale uliowakomboa wavuke humo.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:10 katika mazingira