Isaya 51:9 BHN

9 Amka! Amka ee Mwenyezi-Mungu!Jivike nguvu zako utuokoe.Amka kama ulivyofanya hapo zamani,nyakati za vizazi vya hapo kale.Je, si wewe uliyemkatakata Rahabu,ukalitumbua dude hilo la kutisha?

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:9 katika mazingira