Isaya 51:8 BHN

8 Maana wataliwa na nondo kama vile vazi;viwavi watawala kama walavyo nguo ya sufu.Lakini ukombozi niletao mimi utadumu milele;wokovu wangu hautakuwa na mwisho.”

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:8 katika mazingira