Isaya 51:7 BHN

7 “Nisikilizeni enyi mjuao mambo ya haki,ambao sheria zangu zimo mioyoni mwenu.Msiogope dharau za watu,wala kufadhaishwa na masimango yao.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:7 katika mazingira