Isaya 51:6 BHN

6 Inueni macho mzitazame mbingu,kisha tazameni dunia huko chini.Mbingu zitatoweka kama moshi,dunia itachakaa kama vazi,na wakazi wake watakufa kama wadudu.Lakini wokovu niuletao wadumu milele;ukombozi wangu kamwe hautakoma.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:6 katika mazingira