Isaya 51:5 BHN

5 Nitaleta ukombozi hima;wokovu nitakaoleta waanza kutokea.Mimi mwenyewe nitayatawala mataifa.Wakazi wa nchi za mbali wananingojea,wanaitegemea nguvu yangu.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:5 katika mazingira