Isaya 51:4 BHN

4 “Nisikilizeni enyi watu wangu,nitegeeni sikio enyi taifa langu.Sheria na haki zitatoka kwangu mimi;nazo zitakuwa mwanga wa mataifa.

Kusoma sura kamili Isaya 51

Mtazamo Isaya 51:4 katika mazingira