19 Majanga haya mawili yamekupata:Uharibifu na maangamizi; njaa na mauaji.Nani atakayekuonea huruma?Nani atakayekufariji?
Kusoma sura kamili Isaya 51
Mtazamo Isaya 51:19 katika mazingira